Maana ya kamba katika Kiswahili
Kamba ni uzi mnene au mzito unaosokotwa kwa majani au muwaa.
Kamba in English
Neno kamba in English linaweza kutafsiriwa kama:
1. String – material consisting of threads of cotton, hemp, or other material twisted together to form a thin length.
2. Rope – a length of thick strong cord made by twisting together strands of hemp, sisal, nylon, or similar material.
3. Cord – thin, flexible string or rope made from several twisted strands.
Majina mengine ya kutafsiri kamba in English ni:
- twine
 - yarn
 - thread
 - strand
 - fibre
 - cable
 - line
 - wire
 - ligature
 - thong
 - hawser
 - fillis
 

2 responses to “Kamba in English”