Maana ya kanga katika Kiswahili
Kanga katika Kiswahili lina maana mbili:
Kanga ni nguo nyepesi ya pamba iliyonakshiwa na kuandikwa maneno yenye ujumbe maalumu ambayo huvaliwa na wanawake. Kisawe cha ufafanuzi huu ni leso.
Kanga pia ni ndege wa porini anayefanana na kuku mwenye mwili wenye madoadoa meupe na kichwa chenye upanga juu yake.
Kanga in English
Hii hapa ni tafsiri ya kanga in English kulingana na maana:
Kanga nguo inaweza tafsiriwa in English kama a colorful fabric dress, ufafanuzi wa Kiingereza ni:
“’kanga’ refers to a colorful printed cotton fabric, worn by women and sometimes men in East Africa. It’s often used as a skirt, headwrap, or multipurpose cloth.”
Kanga mnyama tafsiri yake in English ni Guinea fowl, ufafanuzi wa Kiingereza ni:
“a large African game bird with slate-coloured, white-spotted plumage and a loud call. It is sometimes domesticated.”
Guinea fowl in Kiswahili
Guinea fowl in Kiswahili is called kanga.