Maana ya kilimi katika Kiswahili
Kilimi ni kipande cha nyama kinachoning’inia nyuma ya ulimi.
Kilimi pia ni kitu kinachochomekwa kwenye nzumari ili kuifanya itoe mlio inapopulizwa.
Visawe vya ulimi ni:
- Kideakatonge
- Kimio
- Mtapa
- Nari
Kilimi in English
1. Uvula: Hii ndiyo maana ya kawaida zaidi ya kilimi in English. Ufafanuzi wa uvula in English is:
“Your uvula is the little fleshy hanging ball in the back of your throat.”
2. Flute reed: Maana ingine ya kilimi in English nu hii. Ufafanuzi wake in English ni:
“A flute reed is a thin, flexible piece of wood or metal that is inserted into the mouthpiece of a flute. It vibrates when the player blows into the flute, creating the sound.”
Uvula in Kiswahili
Uvula in Kiswahili is called kilimi.