Kinyume cha neno ajuza

Posted by:

|

On:

|

Ajuza ni mtu wa jinsia ya kike aliyezeeka sana.

Visawe vya ajuza ni: bikizee, bibi kizee, bibi kikongwe.

Kinyume cha ajuza

Kinyume cha ajuza ni buda au shaibu

Buda ni mwanaume aliyezeeka.

Shaibu ni mwanaume mzee pia.