Beberu ni mbuzi wa kiume.
Kinyume cha beberu
Kinyume cha beberu ni mbarika au dachia.
Mbarika ni mbuzi wa jike ambaye hajazaa bado.
Dachia ni mnyama yeyote jike ambaye amekomaa na anaweza kuzaa au kupata mtoto.
Ndani ya uhusiano, kuna mambo kadhaa ambayo yanastahili kuzingatiwa na kupewa kipaumbele. Uhusiano sio tu…
Unaweza kuhisi hamu na tamaa kubwa kwa mtu unayempenda. Unaweza kumfikiria kila mara na kutamani…
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…