Butu ni:
-siyokuwa na makali.
-siyokata.
“Butu” maana yake ni kitu kisicho na ncha kali. Kwa mfano, kisu butu kina makali au ncha isiyokata kwa urahisi, ni vigumu kukata nacho.
Kinyume cha butu
Kinyume cha butu ni kali.
Kali ni -enye ubapa ulionolewa na unaoweza kukata kitu, -liochongoka.