Kinyume cha neno ezeka

Posted by:

|

On:

|

Ezeka ni:

Weka makuti, mabati, vigae au nyasi juu ya paa la nyumba

Mfano: Ukiezeka nyumba kwa nyasi, utafanya paa la nyumba lipendeze.

Piga mtu ngumi au makofi, hasa vibao.

Kinyume cha ezeka

Kinyume cha ezeka ni ezua.

Ezua ni:

Ondoa paa la nyumba

Mfano: Upepo mkali uliezua paa la shule.