Kinyume cha neno ficha

Posted by:

|

On:

|

Ficha ni

Weka kitu mahali ili mtu mwingine asikione.

Mfano: Ficha siri; Ficha aibu.

Weka jambo moyoni bila ya kumwambia mtu mwingine, kataa kuonyesha, kataa kusema kitu unachokijua.

Kinyume cha ficha

Kinyume cha ficha ni: fichua, funua, futua.

Fichua ni gundua au onyesha kile kilichofichwa.

Mfano: Fichua siri.

Futua ni toa kilichofichwa ndani.

Futua ni dhihirisha mambo au vitu vilivyokuwa vimefumbwa.