Kinyume cha neno fuma

Posted by:

|

On:

|

Fuma ni:

Unda kitambaa kwa kupitisha nyuzi ndefu juu na chini kwa kutumia sindano au mashine.

Ona mtu kwa ghafla akifanya jambo fulani.

Piga au choma kwa kumrushia mtu mkuki au mshale.

Toka maji ufukweni na kwenda mbali baharini.

Kinyume cha fuma

Kinyume cha fuma ni fumua.

Fumua ni:

1. Achanisha nyuzi zilizofumwa.

2. Achanisha nywele zilizosukwa.

3. Chomoa au toa kitu kutoka mahali fulani.