Imba ni kutiririsha maneno kwa sauti kwa sauti yenye mahadhi.
Kinyume cha imba
Kinyume cha imba kinategemea na muktadha unaorejelea.
Hii ni baadhi ya kinyume cha imba: Nyamaza, ongea, sema, zungumza, kariri, n.k.
Nyamaza ni kaa kimya, acha kulia au kuzungumza.
Ongea ni tamka au zungumza peke yako au na watu; sema.
Sema ni zungumza maneno yasikike kwa watu wengine.
Zungumza ni tamka jambo katika kikao, mkutano, darasani.
Kariri ni hali ya kusoma mashairi au michezo ya kuigiza.