Kinyume cha neno jasiri

Posted by:

|

On:

|

Jasiri ni -siokuwa na hofu, -siogopa, -enye kufanya mambo ya kishujaa.

Kisawe cha jasiri ni hodari.

Kinyume cha jasiri

Kinyume cha jasiri ni ogopa, mwoga, hofu au chelea.

Ogopa ni: -wa na hofu, -wa na woga.

Hofu ni hali ya woga, kutokuwa na ujasiri.

Chelea ni -wa na hofu ya, -wa na wasiwasi wa-

Mwoga ni mtu au mnyama anayeogopa mapambano.