Kinyume cha neno kavu

Posted by:

|

On:

|

Kavu ni:

-siokuwa na majimaji, -liyokauka.

Mfano: Alipika chakula kavu.

Kinyume cha kavu

Kinyume cha kavu ni majimaji.

Majimaji ni kitu kinachotiririka kama maji, damu au maziwa.

Mfano: Chakula chake ni cha majimaji.