Mjomba ni mwanamume aliye ndugu ya mama, kaka ya mama.
Kinyume cha mjomba
Kinyume cha mjomba ni halati au hale.
Halati/hale ni dada wa mama, mwanamke aliye ndugu ya mama, dada ya mama.
Kinyume cha halati
Halati ni dada ya mama, kwa hivyo kinyume cha halati ni mjomba, ambaye ni kaka ya mama.