Kinyume cha neno mrembo

Posted by:

|

On:

|

Mrembo ni msichana au mwanamke mwenye sura na aliyejirembesha vyema.

Kinyume cha mrembo

Kinyume cha mrembo ni mtanashati au matindija kulingana na muktadha wa kinyume unacho lenga.

Mtanashati ni mvulana anayevutia kwa umaridadi wake.

Matindija ni mtu mwenye sura mbaya.