Kinyume cha neno shangazi

Posted by:

|

On:

|

Shangazi ni ndugu wa kike wa baba, ndugu wa kike wa kuumeni, dada wa baba.

Kinyume cha shangazi

Kinyume cha shangazi ni ami.

Ami ni mwanamume aliyezaliwa tumbo moja na baba, kaka wa baba.