Kinyume cha neno shona

Posted by:

|

On:

|

Shona ni pitisha uzi katika nguo, ngozi, karatasi na kadhalika kwa sindano au cherehani ili kushikanisha.

Kisawe cha shona ni fuma.

Kinyume cha shona

Kinyume cha shona ni shonoa au fumua.

Fumua ni:

Achanisha nyuzi zilizofumwa.

Achanisha nywele zilizosukwa.

Chomoa au toa kitu kutoka mahali fulani.