Kinyume cha neno tia

Posted by:

|

On:

|

Tia ni:

Ingiza kitu ndani ya kitu kingine.

Fanya kitu kiwe na sifa fulani.

Kinyume cha tia

Kinyume cha tia ni toa.

Toa ni:

  • Ondoa kitu kilicho ndani na kukiweka nje.
  • Sababisha jambo kufahamika, kusikika au kueleweka.

Mfano: toa maji, toa harufu, toa habari, toa sauti.

  • Punguza idadi ya vitu kama tendo lililo kinyume na kujumlisha katika hesabu,
  • -pa mtu kitu.

Mfano: toa ushauri, toa dawa.