Kinyume cha neno twika

Posted by:

|

On:

|

Twika ni inua kitu na kukibandika begani au kichwani.

Mfano: Mama alimtwika mtoto kuni kichwani.

Kinyume cha twika

Kinyume cha twika ni tua.

Tua ni weka kitu chini kwa mfano mzigo kutoka kichwani au begani.

Mfano: Juma alitua mzigo kutoka kichwani.