Kinyume cha neno uhuru

Posted by:

|

On:

|

Uhuru ni:

Hali ya kufanya jambo bila ya kuingiliwa na mtu au

Kuomba ruhusa lakini kwa kufuata sheria na kanuni zilizohusika

Hali ya kuishi bila kutawaliwa na mtu au nchi nyingine

Haki fulani za kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa mfano haki ya kupiga kura au haki.

Kinyume cha uhuru

Kinyume cha uhuru ni utumwa.

Utumwa ni:

Mfumo katika jamii wa kumtumia mtu fulani kama kitu cha biashara na kumfanyisha kazi bila malipo.

Hali ya mtu kumilikiwa kama mali na kutumwa bila malipo yoyote.