Kinyume cha neno vaa

Posted by:

|

On:

|

Vaa ni:

Kufunika mwili kwa nguo.

Weka mapambo katika sehemu ya mwili.

Mfano: Vaa saa, vaa mkufu, vaa ushanga, vaa pete.

Kinyume cha vaa

Kinyume cha vaa ni vua.

Vua ni kuondoa nguo au mapambo yaliyovaliwa mwilini.

Mfano: Vua mtoto nguo isichafuke.