Vaa ni:
Kufunika mwili kwa nguo.
Weka mapambo katika sehemu ya mwili.
Mfano: Vaa saa, vaa mkufu, vaa ushanga, vaa pete.
Kinyume cha vaa
Kinyume cha vaa ni vua.
Vua ni kuondoa nguo au mapambo yaliyovaliwa mwilini.
Mfano: Vua mtoto nguo isichafuke.
Haya ni maneno ya siku ya kuzaliwa unayoweza kumtumia mkewe kama SMS: SMS za siku…
Hapa kuna ujumbe wa kumtakia rafiki yako siku njema ya kuzaliwa: Meseji za happy birthday…
Zodiac ni Nini? Zodiac ni sehemu ya anga inayozunguka Dunia. Ina upana wa takriban digrii…
Kama mpenzi wako hayuko karibu nawe na umemkosa sana hapa tuna baadhi ya meseji nzuri…