Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Wema ni mambo mazuri anayoyafanya mtu.
Kinyume cha wema ni uovu au ubaya.
Uovu ni hali ya kutenda maovu, kinyume cha wema.
Ubaya ni hali ya kukosa uzuri.