Kinyume cha neno wema

Posted by:

|

On:

|

Wema ni mambo mazuri anayoyafanya mtu.

Kinyume cha wema

Kinyume cha wema ni uovu au ubaya.

Uovu ni hali ya kutenda maovu, kinyume cha wema.

Ubaya ni hali ya kukosa uzuri.