Kinyume cha neno wifi

Wifi ni jina la heshima la kifamilia waitanalo mke na ndugu wa kike wa mume.

Kinyume cha wifi

Kinyume cha wifi ni: Shemeji /muamu/mwamu/mlamu.

Shemeji ni ndugu au dada wa mume au mke wako.

Muamu ni ndugu wa mkeo au mumeo, mume au mke wa ndugu yako.

Mlamu ni ndugu wa kiume wa mume au mke. Mlamu pia ni ndugu wa kike wa mke.

Related Posts