Kinyume cha neno zika

Posted by:

|

On:

|

Zika ni ingiza kitu, maiti au mzoga ndani ya shimo au kaburi na kufukia.

Kinyume cha zika

Kinyume cha zika ni: zikua, zua au fukua.

Fukua ni chimba ardhi ili kutoa kilichofukiwa.

Zikua ni fukua na toa nje kile kilichozikwa.

Mfano wa sentensi

Walifukua/zikua/zua maiti kutoka kwa kaburi.