Kisima in English

Maana ya kisima katika Kiswahili

1. Kisima ni mahali palipochimbwa maji kwa ajili ya matumizi ya jamii.

2. Kisima ni mahali panapochimbwa mafuta au gesi.

Kisima in English

Hapa ni tafsiri za kisima in English:

Well: Hii ndiyo maana ya kawaida ya “kisima” in English. Ufafanuzi wake ni:

“A well is an excavation or structure created in the ground by digging, driving, or drilling to access liquid resources, usually water.”

Waterhole: Tafsiri ingine ya kisima in English ni waterhole. Ufafanuzi wa waterhole in English ni:

“a depression in which water collects, especially one that is regularly drunk from by animals.”

Borehole: Hii ni tafsiri ingine ya kisima in English. Ufafanuzi wa borehole in English ni:

“a deep, narrow hole made in the ground, especially to locate water or oil.”

Related Posts