Kitambaa in English

Posted by:

|

On:

|

Maana ya kitambaa katika Kiswahili              

Kitambaa ni kisehemu cha gora la nguo cha kushonea mavazi, pazia, leso na kadhalika, vazi ghafi ambalo halijashonwa.

Kitambaa in English

Neo kitambaa can be translated into English as “fabric.” Ufafanuzi wa fabric in English ni:

“cloth or other material produced by weaving or knitting fibres.”

Hapa ni aina za vitambaa na tafsiri yake kwa Kiingereza:

  • kitambaa cha pamba (cotton fabric)
  • kitambaa cha sufu (wool fabric)
  • Kitambaa cha kitani (linen fabric)
  • Kitambaa cha nailoni (nylon fabric)
  • Kitambaa cha kitani (linen fabric) n.k.

Fabric in Kiswahili

Fabric in Kiswahili is kitambaa.

Comments are closed.