Kiuno in English

Posted by:

|

On:

|

Kiuno ni nini? – Maana ya kiuno katika Kiswahili

Kuna maana mbili za kiuno katika Kiswahili:

1. Kiuno ni sehemu ya mwili inayogawa mgongo na matako

2. Kiuno ni uzio wa chini wa nyumba unaojengwa kwa mawe au changarawe na simiti ambao ndio msingi wa jengo

Kiuno in English

Kiuno in English ni “waist”. Ufafanuzi wa waist in English ni:

“the part of the human body below the ribs and above the hips, often narrower than the areas above and below.”