kokoto

Kokoto in English

Posted by:

|

On:

|

Kokoto ni nini? – Maana ya kokoto katika Kiswahili

Kokoto ni mawe yaliyopasuliwa vipande vidogovidogo lakini vikubwa kuliko changarawe, kwa ajili ya kujenga.

Kokoto in English

Kokoto in English is ballast. Maana yake kwa Kiingereza ni ‘stones or gravel used for building and construction.

Comments are closed.