Kuku ni nini? – Maana ya kuku katika Kiswahili
Kuku katika Kiswahili lina maana mbili:
1. Kuku ni aina wa jamii ya kanga lakini mkubwa kama kware anayefugwa, ni ndege jike anayefugwa.
2. Kuku pia hutumika kwashiria mahali – huku (Katika ngeli ya “KU”).
Mfano ni: Kuku kwapendeza, kule kubaya.
Kuku in English
Kwa hivyo neno “kuku” in English linaweza kutafsiriwa kama:
1. Chicken: Hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya neno “kuku”. Ufafanuzi wa chicken in English ni:
“a domestic fowl kept for its eggs or meat, especially a young one.”
2. Hen: Katika mazingira mengine, “kuku” pia inaweza kurejelea kuku wa kike haswa. Ufafanuzi wa neno hen katika English ni:
“a female bird, especially of a domestic fowl.”
3. Here: Ukitumia kuku kurejelea mahali tafsiri yake katika Kiingereza itakuwa “here”. Ufafanuzi wa here in English ni:
“in, at, or to this place or position.”
Chicken in Kiswahili
Chicken or hen in Kiswahili is kuku.
3 responses to “Kuku in English”