Maji in English, maana, umuhimu, ngeli na wingi

Posted by:

|

On:

|

Maana ya maji in Kiswahili – Meaning of “maji” in Kiswahili

Maji ni kiowevu kisicho na rangi wala ladha kinachopatikana kwenye mito, bahari au maziwa na wakati mwingine hutokana na mvua ambacho viumbe hunywa na watu hupikia, huogea au kufulia.

Maji in English

Maji in English is water. Ufafanuzi wa maji kwa Kiingereza ni: “a colourless, transparent, odourless liquid that forms the seas, lakes, rivers, and rain and is the basis of the fluids of living organisms.”

Umuhimu wa maji

Maji yanatumika kwa njia mbalimbali. Hii hapa ni baadhi ya matumizi ya maji:

  • Kunywa, kupika na kuoga.
  • Kusafisha vyoo, kufua nguo na ku yunyuzia mimea.
  • Ili kuzalisha umeme.
  • Kusafirisha bidhaa na watu.
  • Tunatumia maji kwa madhumuni ya burudani, kama vile kuogelea, kuendesha mashua, na kuvua samaki.

Ngeli na wingi wa maji

Wingi wa neno “maji” ni “maji”.

Neno “maji” liko katika ngeli ya YA-YA, kwa kuwa maji haina uhai na hazihesabiki.

Mfano wa sentensi

Umoja: Maji yake mtume yamemwagika.

Wingi: Maji yao mitume yamemwagika.

Mambo muhimu unastahili kujua kuhusu maji

  • Maji mengi duniani (karibu 97%) yana chumvi na hayanyweki.
  • Ni asilimia moja (1%) tu ya maji ya dunia ni salama kwa watu kunywa.
  • Maji ni muhimu kwa uzalishaji wa chakula.
  • Bila maji hakutakuwa na wanyama, mimea au watu.

Comments are closed.