matumbo

Matumbo in English

Matumbo ni nini? Maana ya matumbo katika Kiswahili

Matumbo ni kiungo cha mwili kilicho tumboni mwa mnyama ambacho hupitisha chakula wakati wa mmeng’enyo wa chakula.

Matumbo in English

In English, matumbo is most commonly translated as tripe. Ufafanuzi wa tribe in English ni:

“Tripe is a type of edible lining from the stomachs of various farm animals. Most tripe is from cattle, pigs, and sheep.”

Tripe in Kiswahili

Tripe in Kiswahili ni matumbo

Related Posts