Millet definition in English
The meaning of MILLET is any of various small-seeded annual cereal and forage grasses.
Millet in Swahili
In Swahili, there are several words for “millet”, depending on the specific type and region:
Mawele: This word specifically refers to pearl millet.
It’s pronounced mah-WEH-leh.
Wimbi: This term is used for millet in some coastal regions in East Africa, mainly referring to finger millet.
It’s pronounced WEE-mbee.
Mtama: This is the most common and general term for millet and usually refers to great millet.
It’s pronounced mtah-MAH.
Maana ya mawele katika Kiswahili/ Meaning of mawele in Swahili
Mawele ni aina ya nafaka yenye rangi ya kijivu na inayosagwa na kutumiwa kutengeneza uji, pombe au ugali.
Maana ya wimbi katika Kiswahili/ Meaning of wimbi in Swahili
Jina wimbi katika Kiswahili lina maana kadhaa:
1. Wimbi ni sauti za ngurumo au nuru zinazosafiri hewani.
Mfano: Mawimbi ya sauti, mawimbi ya nuru.
2. Wimbi ni tuta la maji baharini.
3. Wimbi ni mstari matao wenye alama ya ~.
4. Wimbi ni msukumo mkubwa wa jambo ambao ni mgumu kudhibitika.
Mfano: Jiji limekuwa na wimbi la uhalifu kwa mwezi mzima.
5. Wimbi ni aina ya mtama.
Maana ya mtama katika Kiswahili/ Meaning of mtama in Swahili
Mtama ni mmea wa nafaka wenye bua refu kama mhindi lenye kutoa masuke nchani ambayo yana punje ndogondogo.