Mkurugenzi in English

Posted by:

|

On:

|

Mkurugenzi ni nani? – Maana ya mkurugenzi katika Kiswahili

1. Mkurugenzi ni mkuu wa idara kuu ya wizara, shirika au taasisi.

Mfano: Mkurugenzi wa Michezo na Vijana;

Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu.

2. Mkurugenzi ni mtu aliyeelimika sana.

Mkurugenzi in English

Neno mkurugenzi linaweza kutafsiriwa kwa Kiingereza kama director. Ufafanuzi wa director in English ni:

1. “a person who is in charge of an activity, department, or organization.”

For example: “the company director”

2. a member of the board of people that manages or oversees the affairs of a business.

Maneno sawa kama “director” kwa Kiingereza ni:

  • administrator
  • manager
  • chairman
  • chairwoman
  • chairperson
  • chair

Director in Kiswahili

Director in Kiswahili is Mkurugenzi.

Comments are closed.