Moon in Swahili (English to Swahili Translation)

Moon definition in English

Moon is the natural satellite of the earth, visible (chiefly at night) by reflected light from the sun.

Moon in Swahili

Moon in Swahili

Moon in Swahili is called mwezi.

Mwezi is pronounced as: mweh-zi.

Moonlight in Swahili

Moonlight in Swahili is called mbalamwezi.

Mbalamwezi is pronounced as: mba-la-mweh-ZEH.

Maana ya mwezi katika Kiswahili (Moon definition in Swahili)

Umbo la mviringo au dutu linalozinguka dunia mara moja kila siku 28. (An oval shape or object that orbits the earth once every 28 days.)

Mwezi pia ni kati ya vipindi 12 katika mwaka ambavyo huwa na siku kati ya 28, 30 na 31. (Month)

Examples of moon in Swahili in sentences

  • Tulikuwa tukitazama mwanga wa mwezi chini ya mti huu kila usiku. (We used to watch the moonlight under this tree every night.)
  • Mwanga wa mwezi chini ya mti
  • Mwezi uko nyuma ya mawingu. (The moon is behind the clouds.)
  • Mwezi unang’aa. (The moon is shining.)
  • Mwezi unazunguka dunia mara moja kwa mwezi. (The moon goes round the earth once a month.)
  • Niliona mwezi juu ya upeo wa macho. (I saw the moon above the horizon.)
  • Mwezi hauna mwanga wake mwenyewe. (The moon doesn’t have light of its own.)
  • Kesho, atatua juu ya mwezi. (Tomorrow, he will land on the moon.)
  • Mwezi uliibuka kutoka nyuma ya wingu. (The moon emerged from behind the cloud.)
  • Usiku, Michael aliutazama mwezi. (At night, Michael gazed at the moon.)
  • Hakuna mwezi usiku wa leo. (There’s no moon tonight.)
  • Jua ni kubwa zaidi kuliko mwezi. (The sun is much bigger than the moon.)
  • Umeona? Mwezi ulikuwa mkali jana usiku. (Did you see? The moon was bright last night.)
  • Mwezi unawaka sana usiku huu. (The moon is shining brightly tonight.)
  • Watoto walicheza chini ya mbalamwezi. (The children played under the moonlight.)
  • Nimeandika shairi kuhusu uzuri wa mbalamwezi. (I wrote a poem about the beauty of the moonlight.)
Related Posts