Ngisi in English

Posted by:

|

On:

|

Maana ya ngisi katika Kiswahili

Ngisi ni mnyama wa bahari mwenye kichwa kama ua lililochanua na mikono kumi mirefu.

Ngisi in English

Ngisi in English inaweza tafsiriwa kama squid au cuttlefish. Ufafanuzi in English ni:

Squid – “an elongated, fast-swimming cephalopod mollusc with eight arms and two long tentacles, typically able to change colour.”

ngisi
Photo by cottonbro studio on Pexels.com

Squid in Kiswahili

Squid in Kiswahili ni ngisi.