Njiwa in English.

Posted by:

|

On:

|

Maana ya njiwa katika Kiswahili

Njiwa ni ndege wa jamii ya tetere au pugi lakini mkubwa anayekula nafaka mwenye rangi ya kijivu na nyeupe iliyopauka.

Njiwa in English.

Njiwa in English can be translated as dove or pigeon.

Ufafanuzi katika Kiingereza ni:

Dove – “a stocky bird with a small head, short legs, and a cooing voice, feeding on seeds or fruit. Doves are generally smaller and more delicate than pigeons, but many kinds have been given both names.”

njiwa - dove
Photo by Pixabay on Pexels.com

Pigeon – “a stout seed- or fruit-eating bird with a small head, short legs, and a cooing voice, typically having grey and white plumage.”

njiwa - pigeon
Photo by Ashithosh U on Pexels.com

Dove in Kiswahili

Dove in Kiswahili ni njiwa.

Pigeon in Kiswahili

Pigeon in Kiswahili ni njiwa pia.

Comments are closed.