Below are numbers in Swahili from 1-1,000,000. The bold ones will help you to continue in the similar pattern for the numbers which are not mentioned.
Numbers in Swahili – Tarakwimu za Kiswahili (1-100)
- moja
- mbili
- tatu
- nne
- tano
- sita
- saba
- nane
- tisa
- kumi
- kumi na moja
- kumi na mbili
- kumi na tatu
- kumi na nne
- kumi na tano
- kumi na sita
- kumi na saba
- kumi na nane
- kumi na tisa
- ishirini
- ishirini na moja
- ishirini na mbili
- ishirini na tatu
- ishirini na nne
- ishirini na tano
- ishirini na sita
- ishirini na saba
- ishirini na nane
- ishirini na tisa
- thelathini
- thelathini na moja
- thelathini na mbili
- thelathini na tatu
- thelathini na nne
- thelathini na tano
- thelathini na sita
- thelathini na saba
- thelathini na nane
- thelathini na tisa
- arubaini
- arubaini na moja
- arubaini na mbili
- arubaini na tatu
- arubaini na nne
- arubaini na tano
- arubaini na sita
- arubaini na saba
- arubaini na nane
- arubaini na tisa
- hamsini
- hamsini na moja
- hamsini na mbili
- hamsini na tatu
- hamsini na nne
- hamsini na tano
- hamsini na sita
- hamsini na saba
- hamsini na nane
- hamsini na tisa
- sitini
- sitini na moja
- sitini na mbili
- sitini na tatu
- sitini na nne
- sitini na tano
- sitini na sita
- sitini na saba
- sitini na nane
- sitini na tisa
- sabini
- sabini na moja
- sabini na mbili
- sabini na tatu
- sabini na nne
- sabini na tano
- sabini na sita
- sabini na saba
- sabini na nane
- sabini na tisa
- themanini
- themanini na moja
- themanini na mbili
- themanini na tatu
- themanini na nne
- themanini na tano
- themanini na sita
- themanini na saba
- themanini na nane
- themanini na tisa
- tisini
- tisini na moja
- tisini na mbili
- tisini na tatu
- tisini na nne
- tisini na tano
- tisini na sita
- tisini na saba
- tisini na nane
- tisini na tisa
- mia moja
Numbers in Swahili – Tarakwimu za Kiswahili (100-1000)
100 – Mia
200 – Mia mbili
300 – Mia tatu
400 – Mia nne
470: mia nne sabini
500 – Mia tano
600 – Mia sita
700 – Mia saba
800 – Mia nane
888: mia nane themanini na nane
900 – Mia tisa
1000 – Elfu
Numbers in Swahili – Tarakwimu za Kiswahili (1000 – 100,000)
1,000 – Elfu moja
2,000 – Elfu mbili
3,000 – Elfu tatu
4,000 – Elfu nne
5,000 – Elfu tano
5300: elfu tano mia tatu
6,000 – Elfu sita
7,000 – Elfu saba
8,000 – Elfu nane
8578: Elfu nane mia tano sabini na nane
9,000 – Elfu tisa
10,000 – Elfu kumi
11,000: Elfu kumi na moja
20,000 – Elfu ishirini
30,000 – Elfu thelathini
40,000 – Elfu arobaini
50,000 – Elfu hamsini
55,500: Elfu hamsini na tano na mia tano
60,000 – Elfu sitini
70,000 – Elfu sabini
80,000 – Elfu themanini
86,865: Themanini na sita elfu mia nane sitini na tano
90,000 – Elfu tisini
100,000 – Laki moja
Numbers in Swahili – Tarakwimu za Kiswahili (100,000 – 1,000,000)
100,000 – Laki moja
200,000 – Laki mbili
220,000: Laki mbili ishirini elfu
300,000 – Laki tatu
400,000 – Laki nne
445,000: Laki nne arobaini na tano elfu
500,000 – Laki tano
600,000 – Laki sita
668,800: Mia sita sitini na nane elfu mia nane
700,000 – Laki saba
756,570: Mia saba hamsini na sita elfu na mia tano sabini
800,000 – Laki nane
900,000 – Laki tisa
999,999: Laki tisa tisini na tisa elfu mia tisa tisini na tisa
1,000,000 – Milioni moja