Pilipili in English

Posted by:

|

On:

|

Maana ya pilipili katika Kiswahili

Pilipili ni tunda dogo, refu, lililochongoka au duara lililo la kijani ambalo likiva huwa jekundu na hutumiwa kama kiungo cha kitoweo na ganda na mbegu zake huwasha sana.

Pilipili in English

Pilipili in English ni pepper. Ufafanuzi wa pepper in English ni:
“a type of fruit, that are known for their hot, spicy flavor.”

Pepper in Kiswahili

Pepper in Kiswahili ni pilipili.  

Comments are closed.