Pleasure definition in English
- A feeling of happy satisfaction and enjoyment.
- Used or intended for entertainment.
Pleasure in Swahili
Pleasure in Swahili is translated as: raha, furaha or bashasha.
Examples of pleasure in Swahili in sentences
- Kukuoona daima ni raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (To see you is always a great pleasure.)
- Kuwa nawe ni raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (It is a great pleasure being with you.)
- Nitafanya kwa raha/furaha/starehe/bashasha. (I’ll do it with pleasure.)
- Ni furaha/starehe/bashasha yetu. (It’s our pleasure.)
- Raha/Furaha ni chanzo cha maumivu. (Pleasure is the source of pain.)
- Kuogelea baharini ni raha/furaha/starehe/bashasha yangu kubwa zaidi. (To swim in the ocean is my greatest pleasure.)
- Watu wengine hutafuta raha/furaha/starehe/bashasha pekee. (Some people pursue only pleasure.)
- Tunapata raha/furaha/starehe/bashasha zaidi kutoka kwa masomo yetu. (We derive further pleasure from our study.)
- Vitu vichache huleta raha/furaha/starehe/bashasha nyingi kama muziki. (Few things give us as much pleasure as music.)
- Kuna furaha zaidi katika kupenda kuliko kupendwa. (There is more pleasure in loving than in being loved.)
- Hali nzuri ya hewa iliongeza raha/starehe/bashasha yetu. (Nice weather added to our pleasure.)
- Watu wengine hupata raha/furaha/starehe/bashasha kutokana na kutazama sinema za kutisha. (Some people derive pleasure from watching horror movies.)
- Yananiletea raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (That gives me great pleasure.)
- Mkutano ulimpa raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (The meeting gave her extreme pleasure.)
- Mtu mpweke hupata raha/furaha/starehe/bashasha kutokana na kuchunguza wadudu. (The lonely man derives pleasure from observing ants.)
- Hali nzuri ya hewa iliongeza raha/starehe/bashasha yetu. (The beautiful weather added to our pleasure.)
- Kitabu hiki kitakuletea raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (This book will give you great pleasure.)
- Ni raha/furaha/starehe/bashasha kubwa kuwa hapa. (It is a great pleasure to be here.)
- Nitakusaidia kwa raha/furaha/starehe/bashasha ikiwa utanitaka. (I’ll help you with pleasure if you want me to.)
- Daima ilikuwa raha/furaha/starehe/bashasha kufanya kazi nawe. (It has always been a pleasure to work with you.)
- Watu wengine huandika vitabu kwa pesa, wengine kwa raha/furaha/starehe/bashasha. (Some people write books for money, others for pleasure.)
- Ilikuwa raha/furaha/starehe/bashasha kukutana nawe. (It was a pleasure to meet you.)
- Ulikwenda nje kwa raha/furaha/starehe/bashasha au kwa kazi? (Did you go abroad for pleasure or on business?)
- “Asante kwa msaada wako.” “Ni furaha/starehe/bashasha yangu.” (“Thank you for your help.” “It’s my pleasure.”)
- Mgonjwa mpweke hupata raha/furaha/starehe/bashasha kutokana na kushona. (The lonely patient derives pleasure from sewing.)
- Furaha/starehe/bashasha ni yangu. (The pleasure is mine.)
- Unaweza kucheza kwa raha/furaha/starehe/bashasha yako. (You may play at your pleasure.)
- Safari yetu ijayo ni kwa raha/furaha/starehe/bashasha, si kwa kazi. (Our next trip is for pleasure, not for work.)
- Tunafurahi sana kukutana na nyote jioni hii. (We take great pleasure in meeting all of you this evening.)