Sadaka in English

Posted by:

|

On:

|

Maana ya sadaka katika Kiswahili

1. Sadaka ni kitu au fedha ambazo mtu humpa mtu mwingine kwa mfano maskini au wagonjwa kwa matarajio ya kupata baraka au thawabu kwa Mwenyezi Mungu

2. Sadaka ni fedha au vitu vinavyotolewa kanisani au misikitini kwa ajili ya matumizi ya shughuli za dini

3. chakula aghalabu nyama

Kisawe cha sadaka

zaka

matoleo

Sadaka in English

Neno “sadaka” lina tafsiri kadhaa zinazowezekana katika Kiingereza, kulingana na muktadha:

1. Alms: Hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya sadaka in English. Ufafanuzi wake in English ni:

“money or food given to poor people.”

Mfano: “those people decided to distribute alms to the needy” – (“watu hao waliamua kusambaza sadaka kwa wahitaji”)

2. Charity: Neno hili pana linajumuisha vitendo vya ukarimu na fadhili vinavyolenga kuwasaidia wengine, ikiwa ni pamoja na michango na kujitolea. Ufafanuzi wake katika Kiingereza ni:

“the voluntary giving of help, typically in the form of money, to those in need.”

3. Offering: Utoaji wa hiari wa mali au huduma kwa ajili ya Mungu. Ufafanuzi wake in English ni:

“a contribution, especially of money, to a Church.”

Majina mengine ya kutafsiri sadaka in English ni:

 • contribution
 • donation
 • benefaction
 • gift
 • present
 • handout
 • aid
 • welfare
 • relief
 • financial relief
 • funding