Samawati in English

Maana ya samawati in Kiswahili

Samawati ni rangi ya buluu inayofanana na ile ya mbingu, wakati mawingu hayapo, buluu hafifu.

Kisawe cha samawati ni feruzi.

Samawati in English

Rangi ya samawati inatafsiriwa kama sky blue color in English. Ufafanuzi wa sky blue in English ni:

“Sky blue is a shade of light blue comparable to that of a clear daytime sky.”

Mfano: Jennifer amevaa vazi la samawati. – Jennifer is wearing a sky blue dress.

Sky blue in Kiswahili

Sky blue in Kiswahili is samawati au feruzi.

Related Posts