Shangazi in English

Maana ya shangazi katika Kiswahili

Shangzi ni ndugu wa kike wa baba, ndugu wa kike wa kuumeni.

Shangazi in English

Tafsiri ya shangazi in English ni aunt. Maana ya aunt in English ni:

“the sister of one’s father or mother or the wife or female partner of one’s uncle.”

Mfano: I went to my aunt yesterday – Nilienda kwa shangazi jana.

Aunt in Kiswahili

Aunt in Kiswahili is shangazi.

Related Posts