Sururu in English

Posted by:

|

On:

|

Maana ya sururu katika Kiswahili

Neno sururu katika Kiswahili lina maana kadhaa:

1. Sururu ni ndege mdogo aishiye kando yam aji mwenye mchanganyiko wa rangi ya kijani, kahawia na nyeupe.

2. Sururu ni samaki wa jamii ya changu mwenye umbo chembamba na kichwa kidogo chembemba na kirefu.

3. Sururu ni mdudu aharibuye minazi.

4. Sururu ni kifaa cha chuma kama jembe lakini chembamba ambacho upande mmoja una ncha kali na kikitiwa mpini hutumiwa kuchimbulia mawe au ardhi ngumu.

Sururu in English

Neno sururu in English linaweza kutafsiriwa kwa njia tofauti kulingana na ufafanuzi uliotolewa hapo juu.

Tafsiri ya kawaida ya neno sururu ni: pick, pickaxe, or mattock. Ufafanuzi wa tafsiri hii katika Kiingerenza ni:

sururu

“A pickaxe, pick-axe, or pick is a generally T-shaped hand tool used for prying. Its head is typically metal, attached perpendicularly to a longer handle, traditionally made of wood and occasionally metal.”

In English, sururu inaweza kutafsiriwa kama mullet, a fish of the mullet family. It has a slender body and a small, pointed head.

Comments are closed.