ugali

Ugali in English

Posted by:

|

On:

|

Ugali ni nini?

Ugali ni chakula kipikwacho kwa unga wa mahindi; mtama au muhogo kwa kusongwa kwa kutumia mwiko.

Viawe vya ugali

  • Sima
  • Wimbi

Mfano katika sentensi

  • Watoto wanakula ugali.
  • Mama anapika ugali.

Ugali in English

Ugali in English ni African polenta or stiff porridge.

Preparation: Made by simply mixing boiling water with maize flour until it reaches a thick dough.

Comments are closed.