Ukoko ni nini? – Maana ya ukoko katika Kiswahili
Ukoko ni masalia ya chakula kilichopikwa na kuganda kwenye chombo cha kupikia chakula hicho, kama vile ukoko wa ugali.
Ukoko in English
Neno “ukoko” linaweza kutafsiriwa kwa Kiingereza kama “crust”. Ufafanuzi wa neno “crust” in English ni:
“Crust refers to the hard, brown outer layer of something that has been cooked, such as bread, stiff porridge, toast, or potatoes.” – (“Crust inarejelea safu ngumu ya nje ya kitu ambacho kimepikwa, kama vile mkate, ugali, au viazi.”)