Ukwaju in English

Posted by:

|

On:

|

Ukwaju ni nini? – Maana ya ukwaju katika Kiswahili

Ukwaju ni tunda la mkwaju.

Mkwaju ni mti usiopukutisha majani wenye majani madogo, matunda marefu ya kijani yakiwa mabichi na yakikomaa huwa kahawia, huliwa na yana ladha ya uchachu, hutengeneza kinywaji na hutumiwa kama kiungo cha kitoweo

Ukwaju in English

Ukwaju in English ni tamarind. Ufafanuzi wa tamarind in English ni:

“Edible fruit of the tamarind tree”.

Comments are closed.