Uteo ni ni kifaa kama sinia kilichotengenezwa kwa chane na hutumiwa kupepetea nafaka.
Kisawe cha uteo ni ungo.
Wingi wa uteo
Wingi wa uteo ni teo.
Umoja wa uteo
Umoja wa uteo ni uteo.
Mifano ya umoja na wingi wa uteo katika sentensi
Uteo wa Rehema ndio uliopendwa na seremala. (Teo za Rehema ndizo zilizopendwa na maselemala.)
Mama anao uteo huku baba akifyeka nyasi kwenye ua wa nyumba. (Akina mama wanao teo huku akina baba wakifyeka nyasi kwenye nyua za nyumba.)