Wingi wa gari ni nini?

Posted by:

|

On:

|

Gari ni chombo za usafiri ambacho kinakwenda kikitumia nguvu ya injini ya petroli ama dizeli.

Gari ni aina ya nomino ya kawaida.

Wingi wa gari ni magari.

Mifano ya kutumia magari kwa sentensi.

  • Mji huu una magari mengi.
  • Magari kadhaa yalikuwa yanawaka moto.
  • Kulikuwa na watu wengi na magari.