Wingi wa hili
Hili ni kivumishi kionyeshi katika ngeli ya [li-/ya-] umoja kinachoashiria ukaribu wa kinachorejelewa na mzungumzaji.
Mfano: Hili ni tamu. Hili halikufai
Wingi wa hili ni haya.
Haya ni kionyeshi cha ngeli ya tatu wingi kinachodokeza kuwa vitu vipo karibu na mzungumzaji
Mfano: Haya ni matamu. Haya hayakufai.